Shuhudia Mshikike Mshike Wa Tamasha La Boda Boda Dar Es Salaam Ulivyokuwa

Boda Boda Super Star Ni Tamasha  Kubwa Linalofanyika  Nchi  Nzima  Kila Mwaka  Linaloandaliwa
 Na Kampuni Ya  JP DECAUX  TZ LTD Ambayo  Inayojishughulisha Na Kazi Za Mawasiliano/ Mahusiano(PR), Na Matangazo Ya (Mabango Na Ya Dijitali) Sambamba Na Uandaaji Wa Shughuli Mbalimbali Ikiwemo (Mikutano, Makongamano, Matamasha


Aidha Tamasha Hili   Linalojumuisha Burudani  Na  Elimu  Ambalo Limelenga Kuwaleta Pamoja Wadau Wote Wa Sekta Ya Bodaboda Nchi Nzima Kwa Kushiriki Kwenye Mashindano Mbalimbali, Ikiwa Ni Pamoja Na  Kucheza  Mpira Wa Miguu Kati Ya  Trafiki Na Bodaboda , Kupata Semina Za Umuhimu Wa Uendeshaji Wa Bodaboda  Ulio Salama Kwa Kuzingatia Sheria Za Barabarani, Umuhimu Wa Bima Kujadiliana Juu Ya Mambo Mbalimbali Juu Ya Sekta Hii Ya Bodaboda Nchini.
Tarehe 13 Mwezi Wa 5 2017 Katika Viwanja Vya  Tanganyika Pakers Kawe,  Dar Es Salaam Tamasha Hili Lilifanyika Kwa Mafanikio Makubwa Sana Likipewa Nguvu Na Mashirika Na Taasisi Mbalimbali Ikiwa Ni Pamoja Na  IRI  Shirika Lisilo La Kiserikali Linalojihusisha Na Kuhamasisha Amani Na Upendo  Na Mshikamano Duniani, King Lion Motors , Pespi,Star Times,Sayona ,Sibuka Media , Dja Multimedia Production,Nmb, Oil Shell  Na Makampuni Mengine Mengi.
“Sisi Tunasote Ni Ndugu “





Shukran Za Pekee Zaidi  Ziwafikie  Shirika La Iri ,King Lion Motors , Pespi,Star Times,Sayona ,Sibuka Media , Dja Multimedia Production,Nmb, Oil Shell  , Wasanii Walio Jumuhika Nasi  Na Makampuni Mengine Mengi Yaliyoshiriki Kufanikisha Tamasha Hili Katika Viwanja Vya Tanganyika Paker S Kawe Dare S Salaam
Share on Google Plus

About djamultimediaproduction

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni:

Chapisha Maoni